I AM Erick Chrispin

welcome to my world

I AM ERICK CHRISPIN

I am a trainer and motivational speaker on personal development, leadership and entrepreneurship. I am also an author of the popular book in swahili: Tabia 5 za Watu Waliofanikiwa (5 habits of successful people). I am also the founder and Managing Director of TrueMaisha Consultancy (A training and coaching consultancy company based in Dar es salaam Tanzania), I believe in human potential to determine his/her life success hence i love facilitating people empower their own potential.

Posts

Comments

MY TEAM

TrueMaisha Consultancy

AM ON SOCIAL MEDIA

Click To Connect with Me

Portfolio

  Posted by: Erick Chrispin Posted date: 9:29 AM / comment : 2

  HIKI NI KITABU KIPYA CHA KISWAHILI KITAKACHOBADILISHA MAISHA YAKO KUWA VILE UNAVYOOTA YAWE.

  HUMU UTAJIFUNZA:

  1. Jinsi ya kuchagua maisha unayoyataka kuishi

  2. kujiamini na ubunifu katika maisha yako

  3. Jinsi ya kuwajibika kuzitekeleza ndoto zako kwa vitendo hadi zitakapozaa matunda

  4. Jinsi ya kudumisha na kuboresha mafanikio yako

  5. Jinsi ya kuyaishi mafanikio yako kwa furaha na mengine mengi sana.

  Ni kizuri kwa mtu yoyote mwenye nia ya kuboresha maisha yake, wajasiriamali na wafanyabiashara, viongozi, wanafunzi, walimu nk.

  KINAKUJIA HIVI KARIBUNI PIGA 0653808032 KUJUA JINSI UTAKAVYOKIPATA.  icon allbkg

  Tagged with:

  Next
  Newer Post
  Previous
  This is the last post.

  2 for KITABU KIPYA CHA KISWAHILI KWA AJILI YAKO!

Comments

The Visitors says